1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mgomo wa wafanyakazi nchini Ufaransa

7 Septemba 2010

Wafanyakazi huko Ufaransa wamendesha migomo ya huduma za umma na kuandamana mabarabarani kupinga mpango wa rais Nicolas Sarkozy, kutaka umri wa kustaafu na kupokea pensheni nchini humo uengezwe kutoka miaka 60 hadi 62.

https://p.dw.com/p/P6HU
Wafanyakazi Ufaransa waandamana kupinga mpango wa rais Sarkozy kuengeza umri wa kustaafuPicha: AP

Rais huyo amewataka wabunge wa chama chake cha UMP, chenywe wingi bungeni, wasimame kidete na wauuunge mkono leo mpango wake huo pale mswada juu ya jambo hilo utakapojadikiwa bungeni.

Othman Miraji alimpigia simu mkaazi wa mji mkuu wa Paris, Mohammed Saleh, na kumuuliza mgomo huo umeathiri kwa kiwango gani maisha ya kawaida jijini humo...

Mtayarishaji: Othman Miraji

Mpitiaji: Josephat Charo