1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mgomo wa walimu nchini Kenya waingia siku ya pili

4 Septemba 2012

Nchini Kenya mgomo wa waalimu leo umeingia katika siku ya pili na kuathiri shughuli nzima za sekta ya elimu

https://p.dw.com/p/1639p
Wanafunzi shuleni wakikabiliwa na mgomo wa walimu
Wanafunzi shuleni wakikabiliwa na mgomo wa walimuPicha: dapd

Aboubakary Liongo amezungumza na mwandishi wetu Eric Ponda akiwa Mombasa kutaka kujua hali mgomo katika eneo hilo la pwani.

(Kusikiliza mazungumzo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)

Mwandishi:Aboubakary Liongo

Mhariri:Othman Miraji