1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mgomo wa Walimu nchini Kenya

25 Juni 2013

Nchini Kenya, Shughuli za masomo zimetatizwa kufuatia mgomo wa kitaifa wa walimu ulioanza leo 25.06.2013.

https://p.dw.com/p/18vUk
Wanafunzi wa shule nchini Kenya wakabiliwa na mgomo wa walimu Zulieferer: Vera Kern
Wanafunzi wa shule nchini Kenya wakabiliwa na mgomo wa walimuPicha: DW/J.Bruck

Nchini Kenya, Shughuli za masomo zimetatizwa  kufuatia mgomo wa kitaifa wa walimu ulioanza leo. Zaidi ya wanafunzi milioni 12 wa shule za msingi na zile za upili kote nchini wameathiriwa na mgomo huo ulioitishwa na Chama cha Kitaifa cha Walimu nchini KNUT na kile cha walimu wasio wa shule za msingi KUPPET.

Mwandishi wetu wa mjini Nairobi Alfred Kiti na ripoti kamili.  Kusikiliza ripoti hiyo bonyeza alama ya spika za maskioni hapo nchini

Mwandishi Alfred Kiti

Mhariri: Saumu Yusuf

Ruka sehemu inayofuata Gundua zaidi

Gundua zaidi