1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mgomo wa Walimu nchini Tanzania

2 Agosti 2012

Madai ya walimu waliogoma hayawezi kutekelezwa kwa wakati.

https://p.dw.com/p/15iR2
Wanafunzi wa shule wameathirika kwa mgomo wa walimu
Wanafunzi wa shule wameathirika kwa mgomo wa walimuPicha: AP

Rais Jakaya Kikwete wa Tanzania amewatolea wito walimu walioko kwenye mgomo wakishinikiza kuongezewa marupuru ya mishahara kurejea kazini kwani madai yao hayawezi kutimizwa na serikali kwa wakati.

Mwandishi wetu kutoka Daressalaam, George Njogopa anaarifu zaidi.

Mwandishi: George Njogopa

Mhariri: Mohammed Khelef

Ruka sehemu inayofuata Gundua zaidi

Gundua zaidi