1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mgomo wa wanafunzi katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam,Tanzania

30 Aprili 2007

Wanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es Salaam bado wako nyumbani kufuatia mgomo walioufanya.

https://p.dw.com/p/CHF9

Joephat Charo alizungumza na Said Hashim mwanafunzi katika chuo kikuu hicho anasema tatizo kubwa ni malipo.

Naye Profesa Mwasige Baregu wa kitivo cha taalum ya siasa katika chuo kikuu cha Dar es Salaam ambaye anadhani wanafunzi wengi wanajiandaa kurudi chuoni baada ya kutangaziwa warudi tarehe 14 mwezi ujao.