1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mhariri Kibanda arejea Tanzania

Admin.WagnerD5 Juni 2013

Mwenyekiti wa wa Jukwaa la Wahariri nchini Tanzania (TEF ), Absalom Kibanda amerejea nchini humo jana kutoka Afrika Kusini, ambako alikuwa akitibiwa baada ya kushambiliwa na kujeruhuiwa vibaya.

https://p.dw.com/p/18juq
Ramani ya Tanzania
DW online Karte Tanzania eng karussell

Mhariri Kibanda aliejeruhiwa vibaya katika mkasa uliotokea Machi 5 mwaka huu. Sudi Mnette wa DW amezungumza na mhariri huyo akiwa jijini Dar es Salaam. Kusikiliza mahojiano hayo bonyeza alama ya kusikiliza masikioni hapo chini.

Insert Interview Mnette/Kibanda
Mhariri: Mohammed Abdul-Rahman