1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Miaka 45 ya Uhuru wa Kenya

12 Desemba 2008

Kenya imeadhimisha miaka 45 tangu kupata uhuru wake kutoka kwa Uingereza.

https://p.dw.com/p/GF0c
Rais Mwai Kibaki na Waziri Mkuu Raila Odinga.Picha: AP

Sherehe zimefanyika kote nchini humo na kilele chake kikawa katika uwanja wa michezo wa Nyayo ambako Rais Mwai Kibaki alihutubia umati wa watu.Pembezoni mwa sherehe hizo watu yapata 60 wamekamatwa na polisi kwasababu ya kuvalia t shirt zilizokuwa na maandishi yanayowashinikiza wabunge kulipa kodi pamoja na mswada wa mawasiliano ulio na azma ya kuvibana vyombo vya habari.

Mwandishi wetu wa Nairobi Alfred Kiti alihudhuria sherehe hizo na kuandaa taarifa ifuatayo