1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Miaka kumi ya kifo cha Mwalimu Julius Kambarage Nyerere

15 Oktoba 2009

<p>Leo ni miaka kumi tangu kufariki dunia mwanzishaji wa taifa la Tanzania, Mwalimu Julius Nyerere.

https://p.dw.com/p/K6Vv
Imetolewa tathmini mbali mbali kuhusu taifa la Tanzania lilivyoelekea baada ya kifo cha mwanasiasa huyo ambaye alitajikana hata nje ya mipaka yake, hasa katika siasa zake za ujamaa na kujitegemea na kutaka viongozi wajiwekee miko ukilinganisha na raia wengine. Othman Miraji alizungumza kwa simu na  Dr. Mohammed Bakari, mhadhiri mwandamizi katika chuo Kikuu cha Dar es Salaam, na kumuuliza kama kweli Tanzania ilivyo sasa ni ile ambayo marehemu Nyerere alikuwa ana matumaini ya  kuwa nayo....