1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mikataba ya utumiaji wa misitu nchini DRC yabatilishwa

8 Oktoba 2008

Serikali ya DRC imebatilisha mikataba yote ya utumiaji misitu ya nchi hiyo iliosainiwa miaka ya nyuma.

https://p.dw.com/p/FWMJ
Msitu nchini Jamhuri ya kidemokrasi ya KongoPicha: picture-alliance/dpa

Katika kuboresha hali ya mazingira huko Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo (DRC), mikataba 156 iliyosainiwa miaka iliyopita kwa ajili ya utumiaji ya misitu ya Congo katika eneo la hekta milioni 20 imebatilishwa, hatua inayolenga kuboresha hali ya mazingira nchini humo.

Mwandishi wetu kutoka Kinshasa Salehe Mwanamilongo ametutumia taarifa ifuatayo.