1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Muhongo asema yeye ni msafi

Mohammed Khelef27 Januari 2015

Aliyekuwa waziri wa nishati na madini wa Tanzania, Sospeter Muhongo, anasema kujiuzulu nafasi hiyo kulikochochewa na kashfa ya Akaunti ya Tegeta Escrow hakumaanishi kwamba alihusika na makosa yoyote.

https://p.dw.com/p/1ER73
Aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini wa Tanzania, Sospeter Muhongo.
Aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini wa Tanzania, Sospeter Muhongo.Picha: DW/J. Hahn

Katika makala hii ya Kinagaubaga, waziri huyo wa zamani anafafanua hatua yake ya kujiuzulu kwenye dakika za mwisho mwisho na pia mustakabali wake baada ya kuondoka kwenye wadhifa huo.

Kusikiliza mahojiano hayo, bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.

Mwandishi: Mohammed Khelef
Mhariri: Josephat Charo

Ruka sehemu inayofuata Gundua zaidi

Gundua zaidi