1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Misri yatinga fainali AFCON

2 Februari 2017

Nusu fainali  ya  kwanza  ya  fainali  za  kombe  la  mataifa  ya  Afrika  AFCON imekamilika  kwa  Mafarao  wa  Misri  kuingia  katika  fainali  kwa  kuitoa  nje  ya  mashindano  hayo  Burkina Faso.

https://p.dw.com/p/2Wqbr
Fußball Africa Cup of Nations Ägypten - Burkina Faso
Picha: Reuters/A.A. Dalsh

J2 02.02 Afcon Burkina Faso vs Egypt - MP3-Stereo

Lakini  licha  ya  kutolewa  Burkina Faso imejijengea  sifa  ya  kuwa  moja  kati  ya  timu vigogo  katika  bara  hilo, baada  ya kukaribia kuingia  katika  fainali  yake  ya  pili  baada  ya  ile  ya  kwanza mwaka  2013  ambapo ilipoteza  mchezo  huo  dhidi  ya Nigeria. Mwenzangu  Sekione  Kitojo alipata  fursa  ya  kuzungumza  na  mwandishi  habari  wa  michezo David Kwalimwa  aliyeko mjini  Libreville  na  alimuuliza  kuhusu  tathmini  yake  kuhusu  Burkina Faso  na  Misri.