1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mkenya ashamirisha migahawa Nigeria

9 Machi 2016

Mwanamke mfanyabiashara kutoka Kenya, Nasra Ali anataka kuwahamasisha wanigeria kuipenda ladha ya kahawa yao, na anaazimia kuendeleza kilimo cha kahawa akishirikiana na wakulima Mashariki mwa nchi hiyo.

https://p.dw.com/p/1I9tc