1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mkutano juu ya mafanikio ya wanawake wafanyika Nairobi Kenya

27 Oktoba 2006

Zaidi ya wajumbe 1000 wamefanya mkutano kutathmini mafanikio ya wanawake tangu kufanyika mkutano wa Beijing miaka 11 iliyopita.

https://p.dw.com/p/CHmE
Sikiliza ripoti ya Mwai Gikonyo kutoka Nairobi Kenya.