1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mkutano wa Benki za Posta Kisiwani Zanzibar

14 Mei 2008

Mkutano wa 14 wa wakurugenzi wa benki za posta Afrika na taasisi ya benki za akiba duniani, WSBI, unafanyika visiwani Zanzibar.

https://p.dw.com/p/DzZc
Mji Mkongwe wa Zanzibar kunakofanyika mkutano wa Benki za PostaPicha: DW /Maya Dreyer

Ajenda kubwa katika mkutano huo ni kukuza na kuimarisha utumiaji wa huduma za kifedha, yaani benki, kwa wananchi wote , hata wa vijijini.

Mwandishi wetu Salma Said ametutumia ripoti ifuatayo kutoka Zanzibar.