1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mkutano wa COMESA mjini Nairobi,Kenya

15 Mei 2008

Mawaziri wa biashara kutoka nchi 19 wanachama wa soko la pamoja la mashariki na kusini mwa Afrika COMESA wanakutana Nairobi Kenya.

https://p.dw.com/p/E0Rx
Mji wa Nairobi kunakofanyika mkutano wa COMESAPicha: DW /Maya Dreyer

Mkutano huo ulikuwa ukitazamiwa kufanyika Zimbabwe mwaka huu lakini kutokana na hali ya kisiasa nchini humo umehamishiwa Nairobi.


Mwai Gikonyo anaarifu zaidi.