1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mkutano wa Kikwete na waandishi habari

Kabogo Grace Patricia30 Oktoba 2010

Mgombea wa kiti cha urais kupitia chama tawala nchini Tanzania cha CCM, Jakaya Mrisho Kikwete, jana usiku alizungumza na waandishi habari na kuelezea kipindi chake cha miaka mitano madarakani.

https://p.dw.com/p/PuPf
Rais Jakaya Mrisho Kikwete wa Tanzania.Picha: AP Photo

Mgombea wa kiti cha urais wa chama tawala nchini Tanzania, Chama cha Mapinduzi-CCM, Jakaya Mrisho Kikwete, jana usiku alikuwa na kipindi cha maswali na waandishi habari na kurushwa moja kwa moja na vyombo vya habari.

Kikwete alitetea kipindi chake cha miaka mitano madarakani, kwa kueleza kuwa hana wasiwasi wakati uchaguzi mkuu unafanyika hapo kesho, kwa sababu ana amini kwamba kiwango chake cha utendaji kinampa fursa nyingine ya miaka mitano.

Mpitiaji: Sekione Kitojo.