1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mkutano wa kupambana na mihadarati waanza jijini Dar es Salaam

Josephat Nyiro Charo12 Aprili 2010

Changamoto bado zingaliko katika kudhibiti dawa za kulevya

https://p.dw.com/p/Mufz
Jiji la Dar es SalaamPicha: DW /Maya Dreyer

Wataalam na wakuu wa vitengo vya kupambana na biashara ya madawa ya kulevya katika nchi za maziwa makuu na pembe ya Afrika wameanza kukutana hii leo jijini Dar es Salaam, Tanzania, kujadili na kuweka mikakati ya kukabiliana na usafirishaji wa mihadarati barani Afrika.

Mtayarishaji: Josephat Charo

Mhariri: Othman Miraji