1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mkutano wa Mazingira na Maji wa bonde la mto Nile

21 Julai 2008

Kumefunguliwa mjini Kinshasa mkutano wa mawaziri wa mazingira na maji wa mataifa wanachama wa bonde la mto NILE.

https://p.dw.com/p/EgLF

Madhumuni ya mkutano huo wa siku mbili nikukadiria miradi ya jumuiya hiyo,ikiwemo huduma ya umeme kwa wananchi wa mataifa wanachama.


Taarifa kamili na mwandishi wetu Saleh Mwanamilongo.