1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mkutano wa Maziwa Makuu

28 Februari 2007

Mkutano wa siku tatu wa wabunge 150 kutoka nchi 11 za kanda la maziwa makuu umemalizika leo katika mji mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo-Kinshasa.

https://p.dw.com/p/CHJD
Kinshasa, mji mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo
Kinshasa, mji mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya KongoPicha: Alexander Göbel

Wabunge hao wamependekeza kuweko na utekelezaji uliotiwa saini jijini Nairobi na viongozi wakuu wa nchi zao Desemba mwaka jana kwa ajili ya amani, usalama na maendeleo ya kanda ya maziwa makuu.

Ripoti kamili na mwandishi wetu Saleh Mwanamilongo kutoka Kinshasa.