1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mkutano wa SADC wafanyika Zanzibar,Tanzania

28 Julai 2008

Umoja wa Tume za uchaguzi wa nchi za Jumuiya ya maendeleo ya nchi za Kusini mwa Afrika SADC zimekutana visiwani Zanzibar kwa siku mbili katika mkutano wake mkuu wa kumi tangu kuanzishwa kwake.

https://p.dw.com/p/ElD0
Rais Mugabe wa ZimbabwePicha: AP

Mkutano huo unalenga kuweka mikakakti ya harakati za kusimamia uchaguzi ili kudumisha demokrasia.Suala la uchaguzi wa Zimbabwe lilipewa kipa umbele kwenye kikao hicho kilichojadilia changamoto na kutathmini mafanikio.

Mwandishi wetu Salma Said alihudhuria mkutano huo na kuandaa taarifa ifuatayo.