1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mkutano wa Ushirikiano na Maendeleo mjini Bonn,Ujerumani

27 Agosti 2009

Jana mjini Bonn, Ujerumani, ulianza mkutano wa pili wa siku mbili juu ya siasa ya ushirikiano wa maendeleo, uzito ukiwekewa juu ya ushirikiano katika ngazi za mikoa na tarafa.

https://p.dw.com/p/JJaE
Rais Horst Köhler wa Ujerumani aliyeufungua mkutanoPicha: picture alliance/dpa

Mkutano huo, ambao umetayarishwa na wizara ya vizazi, familia, wanawake na kuambatanishwa wageni katika jamii ya Ujerumani, ulifunguliwa na Rais Perofesa Dr. Horst Köhler. Mmoja kati ya watu waliohudhuria ni Dr. Kamugisha Byabato, mzaliwa wa Tanzania, lakini sasa yuko katika Chuo Kikuu cha Ufundi cha Dortmund.

Othman Miraji alizungumza naye na kwanza alimueleza vipi hivi sasa yupo hapa Ujerumani.

Mwandishi: Othman Miraji

Mhariri: Mohamed Abdulrahman