1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mkutano wa Vitega Uchumi Kusini mwa Sudan

14 Machi 2007

Mkutano wa siku tatu kuhusu maendeleo na vitega uchumi katika maeneo ya kusini mwa Sudan unafanyika mjini Nairobi nchini Kenya.

https://p.dw.com/p/CHIB
Omar Al Bashir akihutubia wakati wa ziara yake Kusini mwa Sudan
Omar Al Bashir akihutubia wakati wa ziara yake Kusini mwa SudanPicha: AP
Mkutano huo kama anavyotuarifu mwandishi wetu wa Nairobi Mwai Gikonyo umeandaliwa na mashirika mbali mbali ya Umoja wa mataifa, Benki Kuu ya dunia na mataifa fadhili.