1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mkutano wa Wadau wa sekta ya mafuta na gesi mjini Arusha,Tanzania

7 Machi 2007

Wadau wa sekta ya mafuta na gesi zaidi ya 500 kutoka nchi za Afrika Mashariki na nchi mbali mbali duniani, leo wamekutana mjini Arusha kutathmini uhakika wa fursa ya upatikanaji wa bidhaa hizo katiak nchi za Afrika Mashariki.

https://p.dw.com/p/CHIj
Zaidi anafahamisha mwandishi wetu Charles Ngereza kutoka Arusha,Tanzania.