1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mkutano wa wataalamu wa masuala ya afya nchini Tanzania

8 Aprili 2009

Nchini Tanzania wataalam wa masuala ya afya kutoka mataifa 12 barani Afrika wakiwemo wa Shirika la Umoja wa Mataifa linalohusika na Sayansi,Elimu na Tamaduni UNESCO wanakutana mjini Dar es salaam.

https://p.dw.com/p/HT2d
UNESCO - Shirika la Umoja wa Mataifa la Sayansi,Elimu na Utamaduni

Wataalam hao tayari wameonya dhidi ya kurejelea matumizi ya dawa ya DDT iliyopigwa marufuku kupambana na malaria.Dawa ya DDT inaripotiwa kusababisha athari katika mazingira vilevile binadamu.Pendekezo litakalofikiwa mwishoni mwa kikao hicho litajadiliwa mjini Stockholm mwezi ujao.

Mwandishi wetu wa Dar es salaam George Njogopa alihudhuria mkutano huo na kuandaa taarifa ifuatayo.

Mwandishi: George Njogopa

Mhariri: Mohamed Abdulrahman