1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mkuu wa waasi wa Mai Mai aliyehusika na ubakaji akamatwa Kongo

6 Oktoba 2010

Mjumbe maalumu wa Umoja wa Mataifa anayehusika na masuala ya ubakaji katiká maneo ya mizozo, Margot Wallstrom asema ni hatua nzuri kuhakikisha akina mana waliobakwa wanatendewa haki

https://p.dw.com/p/PWis
Mwanamke na watoto wa Mashariki mwa KongoPicha: Ute Schaeffer

Nchini Kongo kamanda wa kundi la waasi wa Mai Mai Cheka amekamatwa katika operesheni ya Umoja wa Mataifa na wanajeshi wa serikali iliyofanyika eneo la Mashariki mwa Nchi hiyo. Muasi huyo anatuhumiwa kuhusika na visa vya ubakaji wa kiasi ya zaidi ya wanawake 300 wakaazi wa eneo la Mashariki ya Kongo. Uhalifu huo ulitokea katika miezi ya Julai na Juni.

Mwandishi: John Kanyunyu

Mpitiaji:Thelma Mwadzaya