1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mlipuko katika ghala la Silaha nchini Tanzania

29 Aprili 2009

Kumetokea na mlipuko katika ghala la jeshi jijini Dar es salaam,Tanzania.

https://p.dw.com/p/Hgca
Jiji la Dar es Salaam limekumbwa na mlipuko wa ghala la SilahaPicha: DW /Maya Dreyer

Huko nchini Tanzania katika jiji la Dar es Salaam taarifa zinasema kuwa ghala moja la jeshi la nchi hiyo limeripuka na kusababisha madhara na taharuki kubwa jijini humo.

Kutoka huko huko Dar es Salaam mwandishi wetu George Njogopa ametutumia taarifa zaidi.

Mwandishi: George Njogopa
Mhariri: Mohamed Abdulrahman