1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mlipuko wa mabomu Uturuki waua watatu Papo kwa Papo 18.08.2016

18 Agosti 2016

Mlipuko wa bomu waua watu kadhaa na kujeruhi zaidi ya 100 Uturuki. Australia yakubali kukifunga kituo cha waomba hifadhi kilichoko katika kisiwa cha Manus, Papua New Guinea na makamu wa zamani wa rais Riek Machar aondoka Sudan Kusini.

https://p.dw.com/p/1Jl0C