1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mombasa: Baada ya kuuliwa Nabahan

15 Septemba 2009

Makomandoo wa kimarekani nchini Somalia wamefanikiwa kumuua Ali Swalehe Nabahan anayetuhumiwa kwa mashambulizi ya kigaidi ya kundi la Al Qaeda.

https://p.dw.com/p/JhJT
Nabahan ni mwenyeji wa Mombasa nchini Kenya, ambako watu wanaoaminika kuwa jamaa zake wanaomboleza  kwa ukimya  kufuatia taarifa za kuuawa kwake. Mwandishi wetu wa mjini Mombasa Eric Ponda alivinjari nyumbani kwa mtuhumiwa huyo na kutuandalia taarifa ifuatayo.