1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

MPLA chashinda uchaguzi Angola

Lilian Mtono
25 Agosti 2017

Chama tawala cha MPLA cha Angola kimeshinda uchaguzi, Kaimu Mwenyekiti wa kampuni wa Samsung afungwa miaka mitano jela kwa makosa ya rushwa na mahakama ya Thailand yatoa waranti wa kukamatwa kwa Waziri mkuu wa zamani wa nchi hiyo, Yingluck Shinawatra. Papo kwa Papo:25.08.2017.

https://p.dw.com/p/2irSX