1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mripuko Madrid

30 Desemba 2006
https://p.dw.com/p/CCez

MADRID:

Kuna ripoti za mripuko mkubwa wa bomu katika Uwanja wa ndege wa Madrid, nchini Spain.Mripuko huo umetokea katika eneo la kuegesha magari la uwanja huo mapema leo.