1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mshindi wa shindalo la Papo kwa Papo

22 Desemba 2017

Mshindi wa shindalo la vidio za Papo kwa Papo ni Edson Kabyemela. HONGERA SANA! Amejishindia iPod maridadi kutoka DW. Vidio yake inamhusu mwanafunzi mwenye umri wa miaka 29 anayeishi na ulemavu baada ya mguu wake kukatwa alipoumwa na mdudu. Lakini anajizatiti kimasomo na kimaisha. Tizama vidio hiyo ya Edson Kabyemela ambayo tumeishirikisha kwenye video zetu za Papo kwa Papo.

https://p.dw.com/p/2pqkq