1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mshindi wa tuzo ya Nobeli Mukwege kuwania urais, DRC

Jean Noel Bamweze (HON)2 Oktoba 2023

Nchini Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo, Daktari Denis Mukwege mtaalamu wa tiba na mwaharakati wa haki za binadamu amethibitisha kugombea urais kwenye uchaguzi unaotarajiwa kufanyika Disemba 20. Mukwege alitunukiwa tuzo ya amani ya Nobel kwa kuwatibu wanawake walionyanyaswa kingono wakati wa vita mashariki mwa Kongo. Mwandishi wetu wa Kinshasa, Jean Noël Ba-Mweze alituarifu.

https://p.dw.com/p/4X3X6