1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mshukiwa wa ugaidi wa Barcelona atambulika

Sylvia Mwehozi
21 Agosti 2017

Uhispania imetanua msako wa mshukiwa mkuu wa shambulio la kigaidi la mjini Barcelona. Miili ya wanandoa wawili raia wa Uswisi yakutwa imetupwa huko Mombasa. Na Marekani na Korea Kusini zimeanza mazoezi ya kijeshi ya pamoja. Papo kwa Papo 21.08.2017.

https://p.dw.com/p/2iaFC