1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Msimamo wa Kenya kuhusu kisiwa cha Migingo

13 Mei 2009

Mgogoro kati ya nchi mbili jirani za Afrika mashariki Kenya na Uganda juu ya nani mwenye mamlaka ya kisiwa cha Migingo katika ziwa Victoria, sasa umeingia sura nyengine.

https://p.dw.com/p/HpSl


Othman Miraji alizungumza na Naibu waziri wa ulinzi wa Kenya David Musila juu ya kauli ya kiongozi huyo wa Uganda na alikuwa na haya ya kusema:-


Mwandishi: Othman Miraji

Mhariri: Mohamed Abdulrahman