1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mswada wa Katiba mpya wakosolewa na wapinzani Tanzania

17 Septemba 2013

Vyama vya upinzani nchini Tanzania vyenye uwakilishi bungeni CHADEMA, CUF na NCCR Mageuzi leo hii vimeanza harakati za kushirikisha asasi zisizo za kiserikali katika kuelewa mswada wa sheria ya marekebisho ya katiba.

https://p.dw.com/p/19jJ0
Profesa Ibrahim Lipumba wa chama cha CUF akiwa na James Mbatie wa NCCR MageuziPicha: DW

Mswada huo ulipitishwa na wabunge wengi wa chama tawala nchini Tanzania. Muda mfupi baada ya mkutano wake na wadau kutoka Jukwaa la Katiba nchini Tanzania, Sudi Mnette alizungumza na mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe ambae kwanza anaelezea nini hasa kilichowasukuma kuanza harakati hizo. Kusikiliza mazungumzo hayo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini

Mwandishi: Sudi Mnette

Mhariri: Mohamed Abdulrahman