1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mtambo wa Nyuklia wa Fukushima waendelea na kazi zake baada ya kuharibika na tetemeko la Ardhi

16 Desemba 2011

Waziri mkuu wa Japan, YOSHIHIKO NODA, amesema mtambo wa nyuklia ambao ulikuwa umeharibika vibaya kutokana na tetemeko la ardhi lililotokea mwezi Machi, na kusababisha Tsunami sasa uko dhabiti kuendelea na kazi zake.

https://p.dw.com/p/13U50
In this May 18, 2011 photo provided by Tokyo Electric Power Co., workers are seen inside the Unit 2 building of the Fukushima Dai-ichi nuclear complex in Okuma, Fukushima Prefecture, northeastern Japan. (AP Photo/Tokyo Electric Power Co.) EDITORIAL USE ONLY
Mtambo wa nyuklia wa Fukushima,JapanPicha: AP

Yoshihiko amesema hii ni hatua kubwa iliopigwa miezi tisa tangu kutokea janga hilo lililosababisha watu elfu 20 kupoteza maisha yao.

Kwa kupata ufafanuzi zaidi juu ya hili, Amina Abubakar amezungumza na mwandishi wetu nchini Japan, Ali Attas.

Mwandishi Amina Abubakar

Mhariri Othman Miraji