1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mtandao wa mabadiliko kwa wanaume unalenga kubadilisha tabia na fikra zao.

12 Februari 2016

Mtandao wa mabadiliko ya wanaume ni shirika lililo na mashirika mengine 25 na wanaharakati kutoka mashirika ya kiraia ya Msumbiji yanayofanya kazi kuhakikisha haki za binaadamu zinaheshimiwa. Shirika lina lengo la kubadilisha fikra za wanaume ili kupambana na ukatili wa kijinsia.

https://p.dw.com/p/1HuIA