1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mtuhumiwa wa mauaji ya kimbari ya Rwanda afikishwa kwenye mahakama kuu ya kimataifa Arusha

21 Septemba 2009

<p>Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo imeiomba jumuiya ya kimataifa na nchi jirani kuonyesha nia nzuri katika kumaliza vita na kuwaadhibu wahusika.

https://p.dw.com/p/Jlm6
A man in Nyamata, 18 miles south of Kigali looks at hundreds of skulls, Jan. 26, 2002, at a memorial for victims of the 1994 genocide in Rwanda. More than 500,000 Tutsis and politically moderate Hutus were killed in the genocide and memorials have been built all over the central African nation to help the country's reconciliation process. (AP Photo/Saurabh Das
Mafuvu ya vichwa vya wahanga wa mauaji ya kimbari ya RwandaPicha: AP
Wito huo ulitolewa na Waziri wa Habari wa Kongo na ambae ni msemaji wa serikali kufuatia sherehe maalum ya kumkabidhi Gregoire Ndahimana mtuhumiwa wa mauaji ya kimbari ya Rwanda kwenye Mahakama ya Kimataifa ya Mauaji ya Rwanda (ICTR) ya Arusha, baada ya kukamatwa mwezi uliopita nchini Kongo. Mwandishi wetu mjini Kinshasa, Saleh Mwanamilongo ametutumia taarifa ifuatayo.

Mpitiaji: Grace Patricia Kabogo

Mhariri: Mohamed Abdul-Rahman