1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Muqtada al-Sadr adai uchunguzi Iraq

2 Septemba 2007
https://p.dw.com/p/CBTP

12.00

LONDON:

Kiongozi wa madhehebu ya shiia anaeipinga Marekani nchini Iraq, Muqtada al-sadr,ametoa mwito leo ufanyike uchunguzi juu ya mapambano yaliozusha vifo kadhaa wiki iliopita wakati wa sherehe za madhehebu ya shiia huko Karballa.Wengi waliwalaumu wanamgambo wake kuwa chanzo cha machafuko yale.Wafuasi wa Al-sadr wametishia kuchukua hatua wasizozifafanua ikiwa serikali ya Irak haitaitikia dai lake hilo.