1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mustakabali wa Ulaya wajadiliwa Brussels

Bruce Amani
23 Juni 2017

Viongozi wa Umoja wa Ulaya wamekamilisha mkutano wa kilele mjini Brussles kwa kudai haki zaidi kwa raia wa umoja huo wanaoishi Uingereza, Rais Trump asema hajawahi kurekodi mawasiliano yake na mkuu wa zamani wa FBI na Alexis Sanchez aweka historia katika dimba la Kombe la Mabara

https://p.dw.com/p/2fGqN