1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Muziki wa zamani ni dhahabu

Bruce Amani
5 Januari 2018

James “Jimmy” Rugami ni mfanyabiashara wa rekodi za santuri ambazo amezikusanya kwa miaka mingi. Anaendesha biashara yake katika kibanda kidogo katika soko la Kenyatta jijini Nairobi

https://p.dw.com/p/2qPpa