1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mwanzo wa kuzama kwa Putin?

Mohammed Khelef14 Desemba 2011

Matokeo ya uchaguzi wa karibuni wa Bunge nchini Russia yamekipa ushindi mkubwa chama cha United Russia cha Waziri Mkuu Vladimir Putin, lakini mkubwa zaidi ya ule wa miaka minne nyuma, na sasa inaonekana Putina anapoteza.

https://p.dw.com/p/13SgI
Dmitri Medwedew mbele ya Vladimir Putin
Dmitri Medwedew mbele ya Vladimir PutinPicha: dapd

Mohammed Khelef anauangalia uchaguzi wa karibuni wa Bunge nchini Russia, ambapo licha ya chama tawala cha United Russia kuibuka na ushindi unaolalamikiwa, chama kikongwe cha Kikomunisti kimefufuka kutoka makaburini na kuzoa kura nyingi zaidi kuliko iliyotegemewa.

Mtayarishaji/Msimulizi: Mohammed Khelef
Mhariri: Othman Miraji