1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mwito wa Mfumo mpya wa katiba Visiwani Komoro

25 Aprili 2008

Hali ya usalama na amani zimekwisharejea katika Visiwa vya Komoro, hasa baada hivi karibuni kukombolewa Kisiwa cha Nzouani.

https://p.dw.com/p/DoBD

Raia wengi, na hata wadadisi wa mambo ya kisiasa,wamekuwa wakizungumzia juu ya mfumo ulioko hivi sasa wa katiba ya visiwa hivi. Mfumo huu wa katiba, ambao kila kisiwa kina rais wake, ukiondoa yule wa Umoja wa Komoro, umekuwa ukipingwa sana na raia wengi Visiwani humu kwa kusema kwamba ndio unaodidimiza maendeleo ya visiwa hivyo.


Zaidi ni kutoka kwa Abdulrahman Baramia alioko Moroni.