1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Nafasi ya Uislamu barani Ulaya

30 Novemba 2011

Baada ya mashambulizi ya kigaidi ya Septemba 11, 2001, taswira ya Waislamu katika ulimwengu wa Magharibi iliharibika na kuanza kuhusishwa wote na ukatili, lakini sasa picha imaenza kubadilika na ufahamu mpya kujengwa.

https://p.dw.com/p/13Jwb
Sura mpya ya Muislamu barani Ulaya
Sura mpya ya Muislamu barani UlayaPicha: Christoph Dreyer, 2011

Oummilkher Hamidou anachambua namna ambavyo jamii za Kimagharibi zinavyoanza kuuchukulia Uislamu katika sura tafauti na ilivyokuwa hapo zamani, huku Waislamu wa Yugoslavia wakiwa kigezo.

Makala: Oummilkher Hamidou
Mhariri: Othman Miraji