1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

NAIROBI: Picha yasambazwa kuhusika na mripuko wa nchini Kenya

16 Juni 2007
https://p.dw.com/p/CBrE

Wachunguzi wamesambaza picha ya mtu alie na habari kuhusu mripuko ulioua mtu mmoja na kuwajeruhi wengine 37 katika mji mkuu wa Kenya, Nairobi.Mripuko huo ulitokea siku ya Jumatatu,nje ya mkahawa mdogo karibu na Ambassadeuer Hotel”. Bado haikuthibitishwa nani au ni kitu gani kilichosababisha mripuko huo na hakuna aliejitokeza na kudai kuhusika na shambulizi hilo.