NAIROBI: Wafanyakazi wa Umoja wa Mataifa kuondoshwa Somalia
13 Oktoba 2006
https://p.dw.com/p/CD3T
Matangazo
Umoja wa Mataifa unawahamisha wafanyakazi wake wa kigeni nchini Somalia kwa sababu za usalama.Kwa mujibu wa msemaji wa Umoja wa Mataifa katika mji mkuu wa Kenya,Nairobi-kumetolewa vitisho vya kuwaua wafanyakazi hao.