1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

NAIROBI: Wanachama wa Mungiki wasakwa na polisi

8 Juni 2007
https://p.dw.com/p/CBts

Polisi nchini Kenya wamesaka nyumba moja moja katika kitongoji cha mji mkuu Nairobi na wameuawa hadi watu 11 katika msako huo.Kwa siku ya tatu kwa mfululizo,polisi waliendelea na msako huo kwa azma ya kuwakamata wafuasi wa kundi la Mungiki. Serikali inalilaumu kundi hilo kuhusika na wimbi la mauaji nchini humo.