1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Jumba la maduka la Westgate lafunguliwa tena

Admin.WagnerD18 Julai 2015

Ufunguzi rasmi wa jengo la kibiashara la Westgate jijini Nairobi ambalo lilishambuliwa na wanamgambo wa Al Shaabab Septemba mwaka 2013 na kusababisha kuuliwa kwa watu takribani 67, umefanyika leo.

https://p.dw.com/p/1G0hI
Jengo la Westgate Mall jijini NairobiPicha: Simon Maina/AFP/Getty Images

Jumba la maduka la Westgate lililoko mtaa wa Westlands mjini Nairobi limefunguliwa rasmi.Takribani miaka miwili tangu shambulizi hilo, yapo maswali mengi ambayo hayajapata majibu. Geoffrey Mung'ou amezungumza na mchambuzi wa masuala ya usalama nchini Kenya, Mwenda Mbijiwa na kwanza alimuuuliza je, kufunguliwa upya kwa jengo hilo kunamaanisha nini?

Mwandishi: Geoffrey Mung'ou
Mhariri: Iddy Sesseanga