1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

NASA waahirisha 'kumuapisha' Raila

Caro Robi
11 Desemba 2017

Siku moja kabla ya siku waliyotangaza 'kumuapisha' Raila Odinga kuwa rais, muungano mkuu wa upinzani nchini Kenya, NASA, umetangaza kuahirisha sherehe hizo bila ya kutoa tarehe mpya ya kufanyika kwa tukio hilo ambalo tayari limekosolewa vikali ndani na nje ya Kenya kuwa linaweza kuliingiza taifa hilo la Afrika Mashariki kwenye machafuko.

https://p.dw.com/p/2p8er

Caro Robi amezungumza na Seneta wa Kaunti ya Makueni, Mutula Kilonzo Junior, mmoja wa vigogo wa chama cha Wiper ambacho ni sehemu ya  Muungano huo wa NASA kutaka kujua zaidi sababu za NASA kubadilisha msimamo wao.