1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki zatangaza bajeti zao

Josephat Nyiro Charo10 Juni 2010

Bajeti hizo zinatangazwa wakati dunia ikikabiliwa na changamoto za msukosuko wa kiuchumi

https://p.dw.com/p/Nnii

Hii leo ilikuwa ni siku ya bajeti kwa nchi za Afrika mashariki, ambapo Mawaziri wa Fedha wa nchi hizo wamesoma makadirio yao ya fedha kwa mwaka 2010/2011.

Jioni hii basi tumekuandalia ripoti kutoka nchi za Tanzania, Kenya na Uganda